
Watu watano mbaroni wakidaiwa kuiba runinga 35
Dar es Salaaam. Wakati matukio ya kuvunja na kuiba vitu mbalimbali vya ndani yakiripotiwa, Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linamshikilia Esahu Francis (27) mkazi wa Makumbusho na wenzake wanne kwa kukutwa na runinga 35 za wizi. Mbali na matukio hayo pia Jeshi hilo linamshikilia Javan Changing (36) raia wa Kenya na…