Uzalishaji korosho wapaa, sababu zatajwa

Louis Kolumbia, Mwananchi [email protected]Dar es Salaam. Uzalishaji wa korosho umepanda kwa tani 115,900, kutoka 189,114 zilizozalishwa msimu wa 2022/23 hadi tani 305,014 katika msimu wa 2023/24, kulingana na tathmini ya awali ya Bodi ya Korosho ya Tanzania (CBT). Tathmini hiyo inaonyesha ongezeko la uzalishaji limetokana na utoaji wa pembejeo za kilimo kwa njia ya ruzuku…

Read More

Majaliwa: Mazingira ya Ufukwe wa Coco hayavutii

Dar es Salaam. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa Manispaa ya Kinondoni kutumia kodi inayokusanya katika Ufukwe wa Coco kufanya maboresho kutokana na mazingira yaliyopo kutovutia. Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Aprili 4, 2024 baada ya kushiriki mbio za kilomita 10 kutoka Daraja la Tanzania hadi Ufukwe wa Coco ikiwa ni programu aliyoinzisha kila…

Read More

Majaliwa ashiriki kampeni ya Wizara ya Afya ya mazoezi

*Aungana na wakazi Dar kufanya mazoezi Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki mazoezi ya pamoja ya kampeni ya kitaifa inayoratibiwa na Wizara ya Afya ya kuhamasisha ufanyaji wa mazoezi kwa watanzania ili kujiepusha na magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Mheshimiwa Majaliwa amesema hatua hiyo pia ni kuunga mkono wito wa Rais wa…

Read More

Mvua yasababisha mafuriko Moshi, Mto Rau wajaa maji

Moshi. Mvua zilizonyesha usiku wa kuamkia leo, Mei 4, 2024 maeneo ya Mlima Kilimanjaro, Wilaya ya Moshi, zimesababisha mafuriko katika kata za Msaranga na Mji Mpya, huku baadhi ya nyumba zikizingirwa na maji. Mafuriko hayo yanatokana na Mto Rau kujaa maji na kuvunja kingo hivyo kusababisha maji kutapakaa katika makazi ya watu,mashamba na kuharibu mali na nyumba….

Read More

Wavuvi waendelea na kazi licha ya tishio la Kimbunga Hidaya

Lindi/Mtwara. Wakati kukiwa na tishio la Kimbunga Hidaya, baadhi ya wavuvi mikoa ya mwambao wa pwani wameonekana wakiendelea na kazi zao kama kawaida. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwepo kwa kimbunga hicho kikiwa na upepo mkali na kuwatahadharisha watumiaji wa bahari kuwa makini ili kuepuka madhara. Akizungumza na Mwananchi Digital…

Read More

Wavuvi Mto Kilombero walia athari za mafuriko

Morogoro. Wavuvi katika Mto Kilombero wameeleza athari walizozipata kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Akizungumza na Mwananchi Digital jana Ijumaa Mei 3, 2024, mwenyekiti wa kambi ya wavuvi katika Mto Kilombero, Amani Timoth ametaja athari hizo kuwa ni kupungua kwa  samaki wakubwa na wale adimu waliokuwa wakiwauza kwa bei ya faida kubwa. “Mto huu ni maarufu…

Read More