
Mashaka ya Kimbunga Hidaya nchini Kenya – DW – 04.05.2024
Hadi usiku huu maisha yameendelea kama kawaida, japo ilikuwa dhahiri kuwa hali ya upepo na mawimbi imebadilika. Upepo mkali umekuwa ukivuma katika maeneo mbalimbali ya Pwani ya Kenya hasa mjini Mombasa, wataalam wa hali ya hewa wanasema kuwa hii ni moja ya dalili ya Kimbunga kwa jina Hidaya kinachotarajiwa kushuhudiwa wakati wowote katika bahari ya…