Gaza bado inakabiliwa na kitisho cha njaa – DW – 03.05.2024

Muwakilishi wa Shirika la Afya Duniani katika maeneo ya Palestina Rik Peeperkorn amesema kuwa chakula zaidi kimewasili katika Ukanda wa Gaza katika wiki za hivi karibuni, lakini akaonya kwamba kitisho cha njaa bado hakijatoweka. Peeperkorn ameongeza kwamba ukilinganisha na miezi michache iliyopita, ni wazi kwamba kwa sasa kunapatikana katika masoko ya Gaza, bidhaa muhimu za…

Read More

Mwafaka mgomo wa daladala Tanga – Horohoro Jumatatu

Tanga. Madereva wa mabasi madogo yanayofanya safari zake kati ya Tanga mjini na Horohoro Wilaya ya Mkinga waliogoma jana Mei 2, 2024 kusafirisha abiria, leo Ijumaa Mei 3, 2024 wameendelea na kazi kwa makubaliano ya kutoza Sh3, 500 hadi Jumatatu, pande tatu zitakapokaa kujadiliana. Madereva hao walikuwa wanapinga uamuzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini…

Read More

Namna majitaka yalivyogeuzwa fursa Zanzibar

Unguja. Miaka michache iliyopita, Wazanzibari walikumbwa na maradhi ya mlipuko kama kipindupindu kutokana na mazingira kutokuwa safi. Mwaka 2016 watu 45 walipoteza maisha na 3,000 waliugua kisiwani humo. Hata hivyo, tangu kipindi hicho hakujawahi kushuhudiwa kasi ya ugonjwa huo baada chanjo iliyotolewa na Wizara ya Afya, ikiwa ni msaada kutoka mradi wa Shirika la Umoja…

Read More

Benki ya NBC Yazindua Huduma Maalum Kuwashika mkono Wastaafu

Na Mwandishi Wetu Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua huduma maalum kwa ajili ya wastaafu inayofahamika kama “Akaunti ya Wastaafu” ama “Pensioners account” ikilenga kutoa huduma za kibenki zenye kutoa vipaumbele kwa kundi hilo la kijamii. Kupitia huduma hiyo iliyozinduliwa mapema hii leo jijini Dar es Salaam,  pamoja na faida nyingine  inatoa fursa ya mikopo mikubwa hadi…

Read More