
Yulia Navalnaya kupokea Tuzo ya Uhuru wa Kujieleza 2024 – DW – 03.05.2024
Tuzo ya DW ya Uhuru wa Kujieleza mwaka 2024 itamuendea Yulia Navalnaya na Wakfu wa Kupambana na Ufisadi nchini Urusi, haya yametangazwa na shirika la kimataifa la utangazaji nchini Ujerumani DW siku ya Ijumaa (Mei 3). Navalnaya ni mjane wa hayati kiongozi wa zamani wa upinzani wa Urusi – na mwasisi wa wakfu huo wa…