
Kijana ashtakiwa kwa kupaka nywele zake rangi ya bendera ya Ukraine
Moja ya habari iliyo washangaza wengi ni hii ya kijana mmoja mkazi wa Moscow hivi majuzi alipigwa faini na kufunguliwa mashtaka na polisi kwa kupaka nywele zake rangi ya njano na bluu, rangi za bendera ya Ukraine. Usiku wa Aprili 27, Stanislav Netesov alishambuliwa na washambuliaji wasiojulikana kwenye kituo cha basi katikati mwa Moscow alipokuwa…