
Mwalimu mkuu jela miaka 30 kwa kubaka, kumpa mimba mwanafunzi
Misungwi. Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kilimo, Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Paulo Charles (40) amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na kosa la kubaka na kumpa mimba mwanafunzi wa miaka 16 wa shule hiyo. Akitoa hukumu hiyo leo Alhamisi Mei 2, 2024, Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Misungwi, Amani…