
FAIDA NA HASARA ZA AKILI MNEMBA KUJADILIWA KWA UPANA MAADHIMISHO YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI.
Na Janeth Raphael -MichuziTv -Dodoma Katika kuelekea kilele cha Siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari ambayo huadhimishwa May 3 kila mwaka Duniani suala la akili mnemba limeendelea kujadiliwa kwa upana kwa faida na hasara zake ambapo moja ya faida zake imeelezwa kuwa ni kuleta utambuzi wa mbolea gani inaweza kufaa katika eneo lipi hapa…