NMB yang’ara OSHA!

          Benki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta ya fedha na bima kama mshindi wa pili (first runner up) katika tuzo zilizotolewa na Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) wakati wa kufunga Wiki ya Maadhimisho ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi 2024…

Read More

ULIMWENGU WA ZAWADI KABAMBE THAMANI MPAKA BIL 1.

Ingia katika ulimwengu wa zawadi za kushangaza: Jishindie sehemu ya zawadi zenye thamani ya Tsh Bilioni Moja (1,109,338,868) pale unapocheza michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka kwa watengenezaji wa michezo ya kasino Wazdan. Karibu katika ushindi usio na kifani! Burudika na Meridianbet unapocheza kasino ya mtandaoni na jishindie sehemu ya zawadi zenye thamani ya Tsh…

Read More

Chongolo aonya viongozi vijiji kutouza NIDA kwa wageni

MKUU wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amewaonya viongozi wa serikali za vijiji na mitaa mkoani humo, kutowauzia wananchi na wageni vitambulisho vya uraia (NIDA) kwani watakaobainika kuchukuliwa hatua kali. Anaripoti Ibrahim Yassin, Songwe… (endelea). Akizungumza jana  Jumatano na wananchi wa kijiji cha Itale kata ya Itale, Chongolo amesema kutokana na mkoa huo kupakana na…

Read More

CSSC YASHEREHEKEA MAFANIKIO YA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUBORESHA MAFUNZO YA FAMASI NCHINI TANZANIA.

KAIMU Mganga Mkuu wa Serikali Ziada Sellah,akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa mwaka pamoja na kusherehekea mafanikio ya Mradi wa kuboresha mafunzo na huduma za famasi nchini (MAP-QPS) awamu ya pili uliokwenda sambamba na uzinduzi wa mifumo ya TEHAMA na ugawaji wa vitabu vya Famasi jijini Dodoma. Mkurugenzi Mtendaji wa CSSC, Peter Maduki,akizungumza wakati wa…

Read More

EUROPA NA KONFERENSI KUKUPATIA PESA NDEFU LEO

Alhamisi ya Leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na shoka kwenye Europa League na Konferensi league ambapo michezo ya kwanza ya Nusu Fainali itapigwa. Suka mkeka wako sasa na meridianbet. Mechi kali kabisa kwenye EUROPA leo itakuwa ni hii hapa ambayo inawkautanisha kati ya AS Roma dhidi ya Bayer Leverkusen ambao hawajapoteza mechi yoyote kwenye…

Read More

Serikali yaanza msako wanaotoa mikopo kausha damu

SERIKALI imeanza kufuatilia watu, vikundi na taasisi zinazotoa kinyume cha sheria mikopo yenye masharti magumu na riba kubwa maarufu kama kausha damu, kwa ajili ya kuwachukulia hatua za kisheria. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Akizungumza bungeni jijini Dodoma, leo tarehe 2 Mei 2024, Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali inachukua hatua hiyo ili kuwalinda…

Read More

Kitita cha matibabu chawaibua madaktari bingwa wa magonjwa ya ndani

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikiendelea kufanyia maboresho sekta ya afya ikiwamo kuimarisha matibabu kwa kuweka vitita kwa wagonjwa wanaotibiwa kwa bima, Chama cha Madaktari wa Magonjwa ya Ndani Tanzania (APHYTA) kimeshauri maboresho hayo yasiathiri ubora wa huduma. Ushauri huo umetolewa kutokana na maboresho yaliyofanyika hivi karibuni ya kitita cha matibabu kilicholalamikiwa na baadhi ya…

Read More