Habari
Je Unajua Meridianbet Kukupatia Mkwanja Leo?
MECHI kibao za mtoani wa Carabao Cup Uingereza (EFL) hatua ya mtoano zinaendelea huku wewe mteja wa Meridianbet ukiwa na nafasi ya kuibuka na mkwanja wa maana. Je pesa yako unaiweka kwa nani na nani wakupe ushindi leo? Unaweza ukabashiri mechi hii ya Reading FC dhidi ya AFC Wimbledon ambao hawa waote wanacheza ligi daraja…
RUBY Play Yatua na Burudani Mpya Meridianbet
Meridianbet imepiga hatua nyingine kubwa kwa kuwaletea wateja wake mtoaji mpya wa michezo ya sloti anayefahamika Duniani kote kama Ruby Play. Hii siyo tu habari mpya, bali ni mlango wa kuingia kwenye ulimwengu wa msisimko, teknolojia ya hali ya juu na nafasi kemkem za ushindi. Ruby Play imejipatia umaarufu duniani kwa uwezo wake wa kubuni…
SEKTA BINAFSI INAWEZA KUIWEZESHA TRC KUPATA MAPATO ZAIDI KULIKO INAVYOJIENDESHA SASA – MKURUGENZI MKUU TRC
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limesema katika mageuzi ya Mashirika ya umma yanayoendelea kufanywa na Serikali, ni lazima TRC ihakikishe inafanya mabadiliko katika sekta ya biashara na ya uendeshaji kwa ushirikiano na sekta binafsi Mkurugenzi mkuu wa TRC Mhandisi Machibya Shiwa, amebainisha hayo jijini Arusha pembezoni mwa kikao kazi cha Wenyeviti na watendaji wakuu wa taasisi…
Dunia Mpya ya Burudani na Ushindi Kutoka Ruby Play – Global Publishers
Last updated Aug 26, 2025 Meridianbet kupitia kasino mtandaoni imezidi kupanua upeo wake na sasa inakukaribisha kwenye ulimwengu mpya wa michezo ya sloti kupitia mtoaji mpya, Ruby Play. Hii ni hatua inayokuja na msisimko mkubwa, ikiunganisha ubora wa teknolojia, mandhari ya kuvutia, na ubunifu wa kipekee unaoweka wachezaji katikati ya burudani isiyo na kikomo….
MATAIFA YA AFRIKA MASHARIKI KUUNGANA KUKOMESHA UVUVI HARAMU BAHARI YA HINDI
Dar es Salaam, Tanzania – 25 Agosti 2025 Mataifa ya Afrika Mashariki yanajiandaa kuchukua hatua madhubuti za pamoja dhidi ya uvuvi haramu, usioripotiwa na usiodhibitiwa (IUUF) katika Bahari ya Hindi ya Kusini Magharibi kupitia Kongamano la Blue Voices (Sauti za Buluu), litakalofanyika jijini Dar es Salaam siku ya Jumatatu, 1 Septemba 2025, kuanzia saa 2:00…
Carabao Cup Ndio Ushindi Wako na Meridianbet – Global Publishers
Last updated Aug 26, 2025 Je unajua kuwa ushindi wako siku ya leo upo Meridianbet kwenye mechi za Carabao Cup?. Mechi kibao kupigwa kwenye viwanja mbalimbali huku timu hizo zikiwa na ODDS za kibabe. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri hapa. AFC Bournemouth atamenyana dhidi ya Brentford huku wote wakiwa wakipiga kule Uingereza. Mechi…
CCM Yatangaza Ratiba ya Uchukuaji Fomu ya Dk. Hussein Mwinyi – Global Publishers
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, anatarajiwa kuchukua fomu ya kuteuliwa kugombea nafasi hiyo katika Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) mnamo Agosti 30, 2025. Hayo yalisemwa jana mjini Unguja na Katibu wa NEC, Idara…
Vodacom Yazindua Ripoti Ya ESG – Global Publishers
Dar-es-Salaam, Agosti,26,2025, Vodacom Tanzania imezindua Ripoti ya ESG ambayo inalenga utekelezaji wa teknolojia ya Kidigitali kufika Dira 2050. Akizungumza wakati wa Uzinduzi huo uliofanyika mapema Leo, jijini Dar-es-Salaam, Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Mipango na Uwekezaji,Mh.Prof.Kitila Mkumbo, amesema anawashukuru na kuwapongeza Kampuni hiyo ya Vodacom kwa kuandaa mdaharo mzuri wa kuandaa Watanzania katika Utekelezaji wa Dira…
Wanaodaiwa kuingilia mfumo ya benki, waendelea kusota rumande
Dar es Salaam. Raia wa Ghana, Valentine Kofi (45) na Watanzania watatu, wataendelea kubaki rumande hadi Septemba 8, 2025 wakati kesi yao ya uhujumu uchumi itakapotajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Hatua hiyo inatokana na upelelezi wa kesi hiyo kutokamilika. Kofi na wenzake wakikabiliwa na mashtaka manne likiwemo la kuingilia mfumo wa benki na…