NBC yashiriki maadhimisho Mei Mosi Arusha

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeungana na maelfu ya wafanyakazi kote nchini kusherekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, MEI Mosi ambayo kitaifa yamefanyika jijini Arusha yakiongozwa na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango aliemuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea). Maadhimisho hayo yaliyofanyika jana Jumatano kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid…

Read More

Madereva Tanga – Horohoro wagoma, kisa hiki hapa

Tanga. Madereva wanaofanya safari zao kutoka Tanga Mjini kwenda wilaya ya Mkinga eneo la Horohoro ulipo mpaka wa Tanzania na Kenya, wamegoma kusafirisha abiria kutokana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (Latra) kushusha nauli huku bei ya mafuta ikiwa imepanda. Akizungumza katika Stendi ya Mwembe Mawazo ulipofanyika mgomo huo, leo Mei 2, 2024, Makamu…

Read More

MA-RC TENGENI MAENEO YA MAZOEZI – MAJALIWA

*Aeleza mkakati wa Serikali wa kutumia maji ya mvua WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa yote nchini waanze kufanya tathmini na kubainisha maeneo ambayo yatatumika kufanya mazoezi kila Jumamosi. “Natoa wito kwa Wakuu wa Mikoa waanze kufanya tathmini ya maeneo waliyonayo na kutenga maeneo ya kufanyia mazoezi. Siyo lazima wafunge barabara kama ilivyo…

Read More

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu wa GGML

SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) pamoja na Wakala wa Usalama na Afya mahalipa kazi (OSHA) wametoa wito kwa kampuni nyingine za madini kuiga mbinu na miongozi inayotumiwa na Geita Gold Mining Limited (GGML) katika kuzingatia kanuni za afya na usalama mahali pa kazi. Wito huo umetolewa kwa nyakati tofauti na viongozi wa taasisi…

Read More

Makonda autaka mgodi kubadilisha maisha ya wana-Geita

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametoa wito kwa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kuhakikisha fedha zinazotolewa na kampuni hiyo kutekeleza miradi mbalimbali ya kijamii (CSR) zinagusa na kubadilisha maisha ya wananchi wa mkoa wa Geita na Tanzania kwa ujumla. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mbali na kuipongeza GGML kwa kuja na…

Read More

Rais Ruto amteua Kahariri kuwa CDF Kenya

Kenya. Rais wa Kenya, William Ruto amempandisha cheo Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri kuwa Jenerali na kisha kumteua kuwa Mkuu wa Majeshi (CDF) leo Alhamisi Mei 2, 2024 kuchukua nafasi ya Francis Ogolla, CDF aliyekufa kwenye ajali ya helikopta. Kwa mujibu wa tovuti ya Taifa Leo ya nchini Kenya, mbali na uteuzi huo, mabadiliko mbalimbali…

Read More

SERIKALI YAANIKA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA WANYAMAPORI WAKALI

Na Happiness Shayo – Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeainisha mikakati mbalimbali ya kukabiliana na changamoto ya wanyamapori wakali na waharibifu katika maeneo mbalimbali nchini ikiwemo Wilaya ya Mbarali, ambapo imesema inatekeleza Mkakati wa Kitaifa wa Utatuzi wa Migogoro baina ya Binadamu na Wanyamapori (2020-2024), Mkakati wa Kusimamia na Kuhifadhi Tembo Nchini…

Read More

Je, miji ya Uingereza inafilisika?

MNAMO 1890, mwandishi mmoja wa habari Mmarekani aitwaye Julian Ralph alisafiri kutoka New York hadi Birmingham, mji wenye nguvu ya kiviwanda ulio katikati ya Uingereza, na akaona kuwa ni “jiji linalotawaliwa vyema zaidi ulimwenguni.” Katika zaidi ya kurasa 12 ndani ya Jarida la Harper’s, Ralph alisifu baraza la jiji kwa kuwapa raia wake majumba ya…

Read More