
Wahamasishwa kukopa bodaboda na bajaji kujikwamua kiuchumi
Dar es Salaam. Katika kukabiliana na tatizo la ajira nchini, vijana wametakiwa kujitokeza kuomba mikopo ya pikipiki na bajaji za kufanyia biashara kwa lengo la kujikwamua kiuchumi. Hayo yamezungumzwa na Mkurugenzi wa masoko wa Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL) na Mo Finance, Fatema Dewji alipokuwa akizindua rasmi kampuni ya mikopo Mo Finance itakayokuwa…