
MRADI WA USEMINI KUSAIDIA UTUNZAJI WA MAZINGIRA MOROGORO
Licha ya serikali na wadau wa mazingira kuendelea kutoa elimu ya utunzaji na uvunaji halali wa Mazao ha misitu bado baadhi ya watu wamekua wakiendelea kufanya Uharibifu Kwa kukata miti hovyo ambapo Takwimu zinazonyesha zaidi ya hekta Laki nne za misitu huaribiwa nchini kila.mwaka Kutoka na Changamoto hiyo Serikali ya Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana…