
Waajiri wakumbushia punguzo kodi ya ujuzi
Dar es Salaam. Licha ya hatua mbalimbali za Serikali kupunguza kodi ya Maendeleo ya Ujuzi (SDL) kutoka asilimia sita hadi 4.5, waajiri wametaka kuendelea kupunguzwa zaidi hadi kufikia asilimia mbili. Kwa mujibu wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), hatua ya kupunguzwa kwa kodi hiyo itarahisisha mazingira ya biashara na kupunguza gharama. Kodi ya SDL hulipwa…