
Tshisekedi asema simu za kiganjani zina damu ya Wakongo – DW – 30.04.2024
Nchi zilizoendelea kiviwanda ‘lazima ziweke shinikizo kwa [mashirika ya kimataifa] kukomesha biashara haramu. … Simu za kiganjani mlizo nazo hapa katika nchi zenu zina damu ya Wakongo.’ Ndivyo alivyosema Félix Tshisekedi, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), katika mahojiano maalum na DW mjini Berlin. Tshisekedi alisema ‘‘Rwanda imegundua kuwa kuna madini katika Jamhuri…