
MIILI MITANO ILIYOSOMBWA NA MAFURIKO MOSHI YAAGWA.
NA WILLIUM PAUL, MOSHI. MIILI mitano kati ya saba iliyosombwa na mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali katika kata ya Kimochi na Mbokomu wilaya ya Moshi imeagwa leo katika viwanja vya KDC. Mafuriko hayo yaliyotokea usiku wa kuamkia Aprili 25 mwaka huu ambapo katika miili hiyo marehemu wanne ni wa familia moja akiwamo…