
Ujenzi wa kudumu barabara, madaraja yaliyoharibiwa kusubiri mvua ziishe
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Waziri wa Ujenzi, Inocent Bashungwa amesema baada ya mvua kuisha wataanza kujenga barabara na madaraja ya kudumu katika maeneo yaliyoathiriwa. Akizungumza leo Aprili 29,2024 baada ya kufanya ziara kukagua miundombinu iliyoharibiwa na mvua katika Wilaya ya Kigamboni amesema kwa sasa wanarudisha mawasiliano ili barabara ziendelee kupitika wakati wakisubiri kupungua kwa…