
Waziri Kiongozi wa Scotland atangaza kujiuzulu – DW – 29.04.2024
Hatua iliyochukuliwa na Humza Yousaf inaashiria anguko la kushangaza la chama tawala Scotland cha SNP na inaimarisha nafasi ya chama cha upinzani cha Labour katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi unaotarajiwa mwaka huu. Yousaf alisema anajiuzulu baada ya wiki iliyoshuhudia mivutano ya kisiasa iliyosababishwa na serikali yake kufuta makubaliano ya muungano na chama cha kijani. Aidha…