7 wafa Ulanga, mbunge alia kutelekezwa na mawaziri, Tanroad

Watoto saba wamepoteza maisha na zaidi ya kaya 70 kukosa makazi Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro kutokana na athari za mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha wilayani Humo na nchini kwa ujumla. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea). Mbunge wa Ulanga, Salim Hasham amebainisha hayo jana Jumapili wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Morogoro juu…

Read More

Mbunge adai Tanroads ilimpa kazi mkandarasi asiye na vifaa

​​​​​​Morogoro. Mbunge wa Ulanga (CCM), Salim Hasham ameutupia lawama Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) mkoa wa Morogoro kwa kumpa kazi mkandarasi asiye na vifaa, jambo ambalo limesababisha kuchelewa kwa ujenzi wa barabara na kuchochea kupanda kwa bei za vyakula. Amedai mkandarasi huyo alipewa mradi wa kujenga barabara inayounganisha Ulanga na Ifakara, hata hivyo, amedai tangu alipopewa…

Read More