
Ukraine yazima mashambulizi ya Urusi – DW – 29.04.2024
Jeshi la Ukraine limesema limefanikiwa kuzima mashambulizi yapatayo 55 ya Urusi katika vijiji kadhaa vya kaskazini na magharibi mwa Novobakhmutivka, kijiji ambacho Moscow imedai kukidhibiti. Mapambano makali yaliripotiwa mwishoni mwa juma katika eneo la mashariki mwa Ukraine, ikiwa ni pamoja na kijiji cha Ocheretyne, ambapo mapigano makali yameripotiwa jana Jumapili. Soma pia: Jeshi la Ukraine lawarejesha…