
Bolt Business yazindua Huduma yake kuponi kwa makampuni ili kutoa huduma kwa wafanyakazi, wateja na washirika kwa urahisi nchini Tanzania
Kampuni inayoongoza kwa mahitaji ya usafiri kwa makampuni kwa njia ya mtandao barani Afrika Bolt Bolt Business, imetangaza huduma yake mpya ya Bolt Business Kuponi ili kuruhusu wafanyabiashara/mashirika kushiriki au kulipia kikamilifu gharama ya safari ya mara moja kwa wafanyakazi na wateja wao. Kuponi ni sehemu ya Bidhaa ya Bolt Business inayolenga kusaidia wateja walio…