
BITEKO ATEMBELEA BANDA LA GGML MAONESHO YA OSHA, AIPONGEZA KUDHIBITI VIFO MAHALI PA KAZI
Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kufanikiwa kudhibiti matukio ya vifo na majeruhi katika shughuli za uchimbaji mgodini na kuwasisitiza waajiri wengine kuhakikisha wakati wote wanalinda usalama wa waajiriwa wao. Biteko ametoa kauli hiyo jana Jumapili baada ya kutembelea…