
Joto kazini laua 18,970 kila mwaka duniani
Arusha. Wafanyakazi zaidi ya milioni 22 duniani wanapata madhara ya ajali sehemu za kazi, huku wengine 18,970 wakifariki duniani kote kila mwaka kutokana na ongezeko la joto mahali pa kazi. Mbali na waajiri kuweka mazingira rafiki sehemu ya kazi, waajiriwa wametakiwa kutambua kwamba wana wajibu wa kuhakikisha wanasimamia usalama wao pindi wawapo kazini. Hayo yamebainishwa…