Vijana wapewa ‘mchongo’ sekta ya kilimo

Dar es Salaam. Vijana wametakiwa kujitokeza kuwekeza kwenye sekta ya kilimo kwa kujiunga katika vikundi, ili kuwezesha upatikanaji wa mitaji kwa urahisi, uzoefu na elimu ya kifedha. Kwa kufanya hivyo imeelezwa kutasaidia wanafunzi waliosoma masuala ya kilimo kutokimbia fani hiyo. Mbali ya hayo, imeshauriwa kuboreshwa miundombinu na usafirishaji, kuongezwa mitaji ya uwekezaji, wakopaji kuwa na…

Read More

RC CHONGOLO ASHIRIKI IBADA YA UZINDUZI WA UKUMBI WA KANISA LA KKKT TUNDUMA,ASKOFU MKUU MALASUSA ASEMA SONGWE WAMEPATA MKUU WA MKOA MCHAPAKAZI,MSIKIVU NA ANAYEPOKEA USHAURI.

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe.Daniel G. Chongolo ameshiriki katika ibada maalumu ya Kanisa la KKKT Jimbo la Tunduma ikiongozwa na Askofu Mkuu wa makanisa ya KKKT Tanzania Dkt. Alex Malasusa iliofanyika katika mji wa Tunduma sambamba na uzinduzi wa ukumbi wa kanisa hilo. Akiongea katika hafla hiyo Chongoloa amesema mkoa wa Songwe ni moja…

Read More

Kamanda Muliro: Boni Yai, Malisa hawakingwi na sheria

Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema sheria ya watoa taarifa kulindwa,  haimaanishi watu kujikite kutoa za uongo, huku wakidai walindwe. Kamanda Muliro ametoa kauli hiyo leo Aprili 28, 2024 alipotoa elimu kwa umma akijibu kilichoelezwa na Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu Boni Yai…

Read More

Biteko atembelea banda la GGML maonesho OSHA, aipongeza kudhibiti vifo mahali pa kazi

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kufanikiwa kudhibiti matukio ya vifo na majeruhi katika shughuli za uchimbaji mgodini na kuwasisitiza waajiri wengine kuhakikisha wakati wote wanalinda usalama wa waajiriwa wao. Biteko ametoa kauli hiyo leo Jumapili Aprili…

Read More

Marekani yaombwa izuie hatua ya kuushambulia mji wa Rafah – DW – 28.04.2024

Saudi Arabia ambayo ni mwenyeji wa mkutano maalum wa kimataifa unaojadili masuala ya kiuchumi  imetowa mwito wa uthabiti katika kanda ya Mashariki ya kati, huku ikitahadharisha kuhusu athari zinazoweza kusababishwa duniani na vita vinavyoendelea kati ya Israel na wanamgambo wa Hamas. Mtazamo wa Saudi Arabia umetolewa kwenye ufunguzi wa mkutano huo wa kilele unaohudhuriwa na…

Read More