SLOTI YA BOOK OF ESKIMO USHINDI KUGUSA TU

KUPANGA ni kuchagua, chagua kuwa mshindi kila siku kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, kila siku kuna bonasi kibasi na michezo sana usipange kukosa bahati hii. Kupitia sloti mpya ya Book of Eskimo unaweza kushinda kirahisi swali ni je unashindaje shindaje? Jisajili Meridianbet na fuata maelekezo haya. Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakurejesha kwenye simulizi…

Read More

Kenya,Tanzania na Burundi zakumbwa na mafuriko mabaya zaidi – DW – 28.04.2024

Watu 76 wamepoteza maisha nchini Kenya kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa za masika zilizoanza kunyesha tangu mwezi Machi. Serikali nchini humo imetoa tahadhari kwa wananchi kujiandaa  kwa mvua kubwa zaidi. Mafuriko yasababisha adha kwa wananchi KenyaPicha: REUTERS Msemaji wa serikali ya Kenya Isaac Mwaura alisema, barabara na vitongoji vimefurika maji na zaidi ya…

Read More

BMH YAKUTANA NA MABALOZI – Mzalendo

Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imefanya kikao na mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika Nchi za Afrika Mashariki, Afrika ya Kati na Astarasia kwa lengo la huduma zake zijulikane katika nchi hizo. Balozi. Said Shaib Mussa, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ambaye ameakifungua kikao hicho, amewapongeza mabalozi kwa kuridhia…

Read More

Uzembe unavyochangia ubakaji, ulawiti kwa watoto

Iringa. Limekuwa kama jambo la kawaida kusikia watoto wakibakwa au kulawitiwa. Hata pale zinapotolewa habari za watoto kufanyiwa ukatili huo, kwa kuwa jamii imezoea kusikia hayo mara kwa mara, huchukulia poa jambo hilo. Wakati jamii ikizoea taarifa hizo, hali inazidi kuwa mbaya kwa watoto. Matukio ya ubakaji na ulawiti yanaendelea kuripotiwa kila uchwao, huku wa…

Read More

Food vendors in Zanzibar equipped training and tools of trade courtesy of Coca-Cola Kwanza in partnership with Oryx

  A group of more than 1,400 women in Unguja and Pemba have graduated from an economic inclusion programme, called Mwanamke Shujaa, supported by Coca-Cola Kwanza. Participants received training and mentorship, supported by the Zanzibar Economic Empowerment Agency (ZEEA), as well as tools of the trade, including a gas stove, gas cylinder, coolers, kitchen clothing…

Read More

Barabara yamogoka kimazichana safari Lindi, Mtwara na Kwingineko hatarini

Na Mohammed Ulongo Wakazi wa Kimazichana Mkoani Pwani wamefikwaa na hadha ya kumogoka kwa sehemu ya barabara kuu inayounganisha maeneo mbalimbali ikiwemo mikoa ya kusini mapema hii leo. Akizungumza na mtanzania digital shuhuda wa tukio hilo aliyejitambulisha kuwa Mudhihiri Muhsin kutoka eneo hilo amesema kuathirika kwa barabara hiyo ni kutokana na mvua zinazoendelea Kunyesha Huku…

Read More

Ukifanya haya unaathiri makuzi ya mtoto wako

Kila mtoto ana ndoto ya kuishi maisha mazuri bila kujali anatokea katika familia ya maisha aina gani, iwe ya kitajiri, kati hata ya kimasikini, ndiyo maana wapo wanaopambana tangu wakiwa wadogo. Kutokana na familia wanazotoka, watoto wamejikuta wakishirikishwa katika biashara za wazazi wao tangu wakiwa wachanga hadi wanapofikia umri wa kujitegemea. Wapo watoto ambao wamejikuta…

Read More