
KATAMBI AKABIDHI AMBULANCE KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA MANISPAA YA SHINYANGA
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu amekabidhi gari maalumu la kubebea wagonjwa ‘ Ambulance’ ambalo litatumika kutoa huduma Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga. Katambi amekabidhi Ambulance hiyo leo Jumamosi Aprili 27,2024 katika Stendi ya Magari…