
Magu Yadhihirisha Kuelewa Ilani ya CCM 2025/2030 – Global Publishers
WANANCHI wa Magu wamemuonesha wazi Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi kuwa wanaifahamu vyema Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025/2030 baada ya kuielezea kwa ufasaha mbele yake. Akizungumza na mamia ya wananchi wa wilaya hiyo waliojitokeza kumpokea, Nchimbi aliwataka waelezee hotuba ya mgombea urais Samia Suluhu Hassan kuhusu…