Vodacom kuwapa kipaumbele zaidi watu ushirikiano ESG

Dar es Salaam. Kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuweka watu mbele katika utekelezaji wa ushirikiano wake wa mfumo wa Mazingira, Jamii, na Utawala Bora (ESG). Hayo yamebainishwa leo Jumanne, Agosti 26, 2025 kwenye uzinduzi wa mfumo jumuishi wa Mazingira, Kijamii na Utawala (ESG) wa Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania…

Read More

Othman: Lengo letu ni amani ya kudumu Zanzibar

Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema malengo ya chama hicho ni kuifanya Zanzibar kuwa na amani na utulivu wa kudumu na siyo kuishia kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Masoud ameyasema hayo jana, Jumatatu Agosti 25, 2025 alipozungumza na ujumbe wa kamati ya mambo ya nje ya Bunge la Marekani,…

Read More

Profesa Kitila: Mimi ni mtumiaji mzuri Vodacom na Mwananchi

Waziri wa Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo amesema anaziheshimu na kuzithamini kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kwa umuhimu wake kijamii na kitaifa.  Katika kuthibitisha hilo amesema yeye ni ni msomaji mzuri wa habari zinazotolewa na kampuni ya Mwananchi kila uchwao na pia ni mtumiaji wa Vodacom…

Read More

Mkurugenzi Mtendaji MCL Rosalynn ahimiza ushirikiano kufikia malengo Dira 2050

Mkurugenzi Mtendaji Mwananchi Communications Limited (MCL), Rosalynn Mndolwa-Mworia amesema ushirikiano ni nguzo muhimu katika dhumuni la ubunifu wa kidijitali, kulinda mazingira yetu na kuwawezesha watu kuelekea mwaka 2050. Ameyasema hayo leo Jumanne, Agosti 26, 2025 kwenye uzindunzi wa mfumo jumuishi wa Mazingira, Kijamii na Utawala (ESG) wa Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania inayoshirikiana na…

Read More

Dira ya 2050 ndani ya jicho la wadau wa elimu

Dar es Salaam. Wadau wa elimu nchini wameendelea kuitazama Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2050 kwa jicho la matumaini makubwa, hasa katika nguzo ya pili inayohusu “Uwezo wa Watu na Maendeleo ya Jamii”. Kwa mujibu wa dira  hiyo, elimu ni injini kuu ya maendeleo ya watu na jamii, na hivyo uwekezaji wake unaelekezwa katika…

Read More

Shule zisaidie kufundisha watoto uzalendo

Dar es Salaam. Uzalendo ni moyo wa kuipenda nchi yako, kuithamini, na kuwa tayari kujitoa kwa ajili ya maendeleo na ustawi wa taifa lako. Ni thamani inayojengwa na kuendelezwa kwa makusudi, si jambo la kimaumbile tu. Katika hali ya sasa ambapo taifa linakumbwa na changamoto nyingi za kimaadili, kiuchumi na kijamii, ipo haja ya dharura…

Read More

Nani amefeli hapa; mfumo wa elimu au mwanafunzi?

Arusha. Gazeti hili tarehe 20 Agosti mwaka huu lilikuwa na ripoti ya Tamisemi kuhusu elimumsingi (BEST 2025), iliyoonyesha kwamba kuna uhaba mkubwa wa walimu katika shule zetu.  Ilikuwa ripoti ya kusikitisha, hasa ukizingatia kwamba mtoto wetu wa Kitanzania ana haki ya kupata elimu bora kama vile alivyo na haki ya kupata malezi bora. Pia haki…

Read More