
Wananchi Malinyi walia kukosa huduma za afya
Morogoro. Pamoja na Serikali kutumia usafiri wa anga kutoa misaada ya chakula kwa waathirika wa mafuriko wilayani Kilombero na Malinyi mkoani hapa, wananchi wa Kata za Usangule na Misegese wameomba kupata suluhisho la kudumu la huduma za tiba. Wakizungumza na Mwananchi Digital leo Aprili 27, 2024 wakati wa kupokea misaada iliyoletwa na helikopta ya Jeshi…