Mmoja mbaroni kwa tuhuma za kumuua Mwenyekiti wa kijiji Same

Same.Watu watatu wa familia moja, katika kitongoji cha Kampimbi, Kijiji cha Ndungu, Wilaya ya Same, Mkoani Kilimanjaro wanadaiwa kumshambulia na kumuua kwa kumkata sehemu za  kichwa na begani na kitu kinachodhaniwa kuwa na ncha kali,  Mwenyekiti wa kitongoji cha Sinangoa A, Charles Mkuruto na kumsababishia kifo chake. Mwenyekiti huyo ambaye pia ni Mjumbe wa Baraza…

Read More

ACT Wazalendo chapigia chapuo waongoza watalii

Moshi. Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali, kusimamia na kuhakikisha waongoza watalii wanalipwa masilahi stahiki ili kuwa chachu ya kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini. Rai hiyo imetolewa leo Aprili 27, 2024 na kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu alipotembelea kituo cha utalii cha Materuni Waterfalls akiwa ameongozana na viongozi mbalimbali wa chama hicho wakiwamo…

Read More

Mbowe asisitiza muungano wa Serikali tatu

Musoma/Dar. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema licha ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar kutimiza miaka 60, bado unahitaji maboresho, akipendekeza muundo wa Serikali tatu ikiwamo ya Tanganyika. Mbowe ameyasema hayo jana Aprili 26, 2024 kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Musoma mkoani Mara, akisisitiza msimamo wa chama chake wa kuunga mkono uwepo wa…

Read More

TANROADS YAENDELEA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA GONGOLAMBOTO JIJINI DAR ES SALAAM

Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imehakikisha utekelezaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka; barabara ya Nyerere hadi Gongo la mboto unaendelea huku barabara ya kawaida ikiendelea kupitika hata katika kipindi hiki cha mvua kubwa zinazoendelea kunyesha sehemu mbalimbali Nchini. Akizungumza wakati alipofanya ziara katika mradi huo Meneja wa miradi ya mabasi yaendayo haraka…

Read More

Shamrashamra za Kilele cha Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024

Maonesho ya Kwata ya Kikundi cha Askari wa Jeshi la Polisi Tanzania kutoka Zanzibar Maarufu kama Askari wa Tarabushi wakionesha Maonesho mbalimbali ya aina ya Kwata tangu kipindi cha utawala wa Sultan na kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Askari hao walijipatia umaarufu mkubwa kutokana na uvaaji wa Kofia zao za Tarabushi.  Onesho hilo…

Read More