Kikokotoo chaendelea kufukuta, Tucta, THTU wakoleza moto

Dodoma. Baada ya malalamiko ya wafanyakazi kuhusu kanuni mpya za kikokotoo cha mafao ya mkupuo, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) limesema limewasilisha maoni kwa Serikali na bado majadiliano yanaendelea. Kanuni mpya za mafao ya mkupuo zilianza kutumia Julai 2022 ambapo mafao hayo kwa mifuko yote ya hifadhi ya jamii ni asilimia 33. Tucta…

Read More

Mhadhiri Udom ataka Muungano ufundishwe shuleni

Dodoma. Ili kuuenzi vema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Serikali ya Tanzania imeshauriwa kuweka somo hilo, litakalofundishwa shuleni kuanzia ngazi za chini katika  pande zote mbili za Tanzania Bara na Zanzibar kwa faida ya vizazi vijavyo. Ushauri uliotolewa na jana Alhamisi Aprili 25, 2024 na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) katika Shule Kuu…

Read More

Wakazi wa Njombe waiomba Tarura kutelekeza ujenzi wa daraja

Njombe. Wakazi wa mitaa ya Igangidung’u na Maguvani Kata ya Kivavi Halmashauri ya Mji wa Njombe, wameiangukia Serikali ikamilishe ujenzi wa daraja lililoanza kujengwa tangu mwaka 2022. Wakizungumza na Mwananchi Digital leo Ijumaa Aprili 26, 2024 wananchi hao wamesema kipindi hiki cha mvua eneo hilo halipitika na ni adha kubwa kwao. Wameiomba Serikali kupitia Wakala…

Read More

Sababu za mafuriko kuivuruga dunia

Dar es Salaam. Wakati Tanzania ikiomboleza vifo vya watu 162 vilivyotokana na janga la mafuriko linalosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha, janga hilo ni sehemu tu ya taswira kubwa ya mateso yanayoathiri mataifa mengi barani Afrika na duniani kote kwa sasa. Sababu ya mafuriko yanayovuruga dunia nzima, imeelezwa kuwa ni matokeo ya mabadiliko ya tabianchi…

Read More

DC Timbuka: Tunapanga namna nzuri ya kuwanusuru wananchi na mafuriko

Siha. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kuathiri maeneo mengi nchini, Mkuu wa Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro, Dk Christopher Timbuka amesema wanapanga namna nzuri ya kuwanusuru wananchi na hatari ya mafuriko. Hata hivyo, amesema wakati Serikali ikiendelea na mipango na mikakati yake, amewomba wananchi nao waendelee kuchukua tahadhari hasa wale wanaoishi katika maeneo hatarishi…

Read More

TANROADS YAWEKA KAMBI BARABARA YA MOROGORO- IRINGA KUZIBA MASHIMO MAENEO YALIYOHARIBIWA NA MVUA

Na Aisha Malima-Morogoro Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro inaendelea na kazi ya kuziba mashimo na kukarabati barabara kuu ya Morogoro – Iringa ikiwemo katika eneo la Kobogwa lilipo katika hifadhi ya Taifa ya Mikumi ambapo kumetokea shimo kubwa baada ya maji kupita pembezoni mwa Kalvati. Akizungumza na Kipindi cha TANROADS…

Read More