
TANZANIA YAIELEZA UN HAKUNA WANANCHI WALIOHAMISHWA KWA NGUVU NGORONGORO NA LOLIONDO
Na Mwandishi wetu Kikao cha 23 Jukwaa la kudumu la Umoja wa Mataifa la Masuala ya Watu wa Asili (UNPFII) kinaendelea jijini New York nchini Marekani. Kikao hicho kinahudhuriwa na ujumbe wa Tanzania unaoongozwa na Prof. Hamisi M. Malebo, Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya UNESCO ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wajumbe wengine…