TAKUKURU wakamata watumishi wa serikali kwa tuhuma za kuomba rushwa ‘tutaendelea kukamata”

Wakurugenzi wa halmashauri wametakiwa kuchukua hatua kali za kisheria kwa wale wanaohusika kukwamisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo mkoani Njombe. Kauli hiyo imetolewa April 25,2024 na kamanda wa Takukuru mkoa wa Njombe Kassim Ephrem wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo. Amesema mkurugenzi anapelekewa ripoti ya mradi uliotembelewa na Takukuru na kubaini mapungufu wanategemea…

Read More

Kauli ya RC Dendego yaibua mjadala

Dar es Salaam. Kufuatia kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego kuwa wasichana watakaopata mimba katika umri mdogo, watakuwa washitakiwa wa kwanza katika mashauri yatakayofunguliwa, baadhi ya wanaharakati wamemkosoa wakisema kauli hiyo haileti suluhisho la tatizo hilo. Akizungumza katika ziara yake ya kikazi Halmashauri ya Wilaya ya Itigi mkoani humo na wanafunzi wa…

Read More

Marufuku kutumia baiskeli ya mwanafunzi kwenda kunywea pombe

Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela amepiga Marufuku Baadhi ya wazazi na walezi wa wanafunzi wa kike waliokabidhiwa Baiskeli na Shirika la Plan International zitakazo kwenda kusaidia kupunguza Changamoto ya Umbali mrefu kuacha tabia ya kuzichua Baiskeli hizo na kwenda kuzitumia kwa Matumizi mengine ikiwemo kunywea Pombe Marufuku hiyo imepigwa wakati alipokuwa akikabidhi Baiskeli…

Read More

Nyamoga atoa neno kwa Tarura marekebisha ya barabara sehemu korofi

Iringa. Salamu ya Mhandisi wa Wakala wa Barabara Vijijini (Tarura) kutoka Tamisemi, Emmanuel Mhiliwa ya ‘Kihesa Mgagao hoyeee’ na kujibiwa ‘hoi’ ilitosha kuonyesha wananchi wamekasirika. Hayo yamejiri leo Ijumaa Aprili 26, 2024 katika ziara ya mbunge wa Kilolo, Justine Nyamoga aliyefika kukagua athari za mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mengi nchini. Wananchi hao wa Kijiji cha…

Read More

Hiki ndicho kiini cha akili na maana yake

Waswahili wanasema mtaka cha uvunguni shurti ainame, na vijana wa sasa wanasema anaweza inua kitanda, uchaguzi ni wako, uiname au uinue kitanda… hebu twende pamoja. Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia watu wakitofautiana wanasema huyu hana akili mpuuze tu. Wazazi nao wanasema huna akili kama mama au baba yako! Hii ikanifanya nijiulize swali, hivi akili ni…

Read More