
Usizidishe kiwango hiki cha kahawa kwa siku
Dar es Salaam. Umewahi kukutana na mfanyakazi ambaye muda wote mezani kwake kuna kikombe cha kahawa? Kadhalika, umewahi kujiuliza kwa nini katika ofisi nyingi unaweza ukakosa vinywaji vingine, lakini si kahawa? Maswali hayo yanaakisi uhalisia wa mwenendo wa maisha ya wafanyakazi wengi wanapokuwa ofisini, lakini pia mtindo wa ofisi mbalimbali na vikundi vya mikusanyiko mbalimbali…