
Waliokuwa wapangaji Bonde la Msimbazi kulipwa Sh170,000
Dar es Salaam. Waliokuwa wapangaji katika nyumba zinazoathiriwa na mradi wa uendelezaji Bonde la Mto Msimbazi wenye mikataba na wasio nayo, wote watafidiwa Sh170,000. Awali, Serikali ilisema ambao wangelipwa ni wale tu waliokuwa na mikataba, jambo lililozua malalamiko miongoni mwa wapangaji wakisema maisha ya maeneo hayo ingekuwa vigumu kuandikishiana mikataba. Katika utekelezaji wa mradi huo…