
JENERALI MKUNDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU KATIBU MKUU WA UN ANAYESHUGHULIKIA OPERESHENI ZA ULINZI NA AMANI
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda leo amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Operesheni za Ulinzi wa Amani ( UN Under Secretary General for Peace Operations) Bw. Jean Pierre Lacroix ofisini kwa Mkuu wa Majeshi, Upanga, Jijini Dar es salaam. Katika mazungumzo yao, Bw. Jean…