
Mvua zaleta maafa kila kona, hofu yaongezeka, shule zafungwa
Dar/mikoani. Mvua zinazonyesha sehemu tofauti nchini zimeendelea kusababisha uharibifu wa mali, miundombinu, mashamba na hata kusababisha vifo vya watu kutokana na kufurika kwa maji. Leo Jumatano, Aprili 24, 2024, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetangaza mwendelezo wa mvua katika mikoa mbalimbali nchini na kuwataka wananchi kuchukua tahadhari. Mikoa mbalimbali jana iliripotiwa kuwa na…