
Watu 13 wazuiliwa baada ya kukamatwa na mbuzi wakidaiwa kutaka kutoa dhabihu huko Jerusalem
Watu 13 wamezuiliwa karibu na Mlima wa Hekalu la Jerusalem wakiwa na wana-kondoo na mbuzi ambao walikusudia kuwatoa dhabihu katika ibada ya Kibiblia ya Pasaka, polisi walisema katika taarifa. Katika tukio moja, mbuzi alipatikana akiwa amefichwa ndani ya gari la kubebea watoto, huku mshukiwa mwingine akijaribu kusafirisha mbuzi kwenye eneo la kumweka ndani ya begi…