
Wizi wa misalaba makaburini wawashitua Shinyanga
Shinyanga. Usemi wa “Kufa Kufaana” unakamilisha dhana ya kinachoendelea mjini Shinyanga kutokana na kukithiri kwa wizi wa misalaba kwenye makaburi. Wakati wananchi wakiomboleza kuwapoteza wapendwa wao na kuwasitiri vema kwa kujengea makaburi na kuweka misalaba juu yake kulingana na imani zao, watu wasiojulikana wamekuwa na ujasiri wa kuiba misalaba hiyo. Misalaba inayolengwa zaidi ni ile…