
NAIBU WAZIRI KATAMBI AFUNGUA MICHEZO YA MEI MOSI MKOANI ARUSHA
Na; Mwandishi Wetu – Arusha Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe Patrobas Katambi amefungua rasmi michezo ya Mei Mosi na kueleza umuhimu wa michezo hiyo katika kuimarisha afya za wafanyakazi. “Michezo ni Afya, Ajira na njia nzuri ya kujenga umoja na mahusiano mema mahali pa kazi,” amesema…