
ORYX GAS,ASAS WATOA MKONO WA POLE WAATHIRIKA WA MAFURIKO WILAYANI RUFIJI – MWANAHARAKATI MZALENDO
Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Oryx Gas kwa kushirikiana na Kampuni ya ASAS wamekabidhi msaada wa vyakula na mitungi ya gesi ya Oryx kuwasaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani. Msaada huo umekabidhiwa leo Aprili 13, 2024 jijini Dar es Salaam kwa Mbunge wa Jimbo la Rufiji ambaye pia…