
Watu 50 pekee kushiriki mazishi ya CDF Ogolla
Kenya. Watu 50 pekee watashiriki kumzika aliyekuwa Mkuu wa majeshi ya Kenya, Jenerali Francis Ogolla, tovuti ya Nation nchini humo imeripoti. Miongoni mwa watu hao atakuwemo Rais wa Kenya, William Ruto, maofisa wa ngazi za juu wa jeshi, maofisa waandamizi wa Serikali na wanafamilia. Hata, hivyo mazishi hayo yameibua gumzo kutokana na kuwa si kawaida…