
Ujenzi nyumba za waathirika maporomoko ya Hanang waendelea
Arusha.Ujenzi wa nyumba 108 za waathirika wa maafa ya maporomoko ya matope, mawe na magogo ya miti kutoka Mlima Hanang unaendelea katika eneo la Gidagamowd, Kata ya Mogitu. Nyumba hizo zinajengwa kwa waathirika wa maafa hayo waliopoteza makazi yao na chache kwa wale wanaoishi kwenye mazingira hatarishi. Akizungumza na Mwananchi Digital, leo Aprili 20, 2024,…