
JKCI IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA MATIBABU MAJUMBANI
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza kutoa huduma ya kuwafuata wagonjwa manyumbani mwao na kuwapa tiba ili kupunguza vifo vya ghafla pamoja na kuokoa muda wa kuwapeleka hospitali. Hayo yamesemwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Dkt. Peter Kisenge wakati akizungumza na waandishi wa habari juu huduma hiyo jijini Dar es Salaam. Dkt. Kisenge amesema huduma…