Dar kinara wanafunzi wanaohama shule za msingi nchini

Dar es Salaam. Mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Tabora na Geita imetajwa kuwa kinara nchini kwa wazazi kuhamisha watoto wao wanaosoma shule za msingi kwenda maeneo mengine nchini. Jambo hilo linatajwa kuchangiwa na kuhama kwa wazazi wao kikazi, kutafuta sehemu ambazo watoto wanaweza kupata elimu bora na usalama wa wanafunzi. Ripoti ya Best Education…

Read More

Nani Kuibuka Kidedea EPL? – Global Publishers

Katika kuendelea kuhakikisha kuwa Meridianbet haikuachi hivi hivi, Jumatatu ya leo wameamua kukupatia ODDS za kibabe kwenye mechi zote za leo. Nani kuondoka na ushindi leo?. Tandika jamvi lako na ushinde sasa. LALIGA kule Hispania inatarajiwa kuendelea Athletic Bilbao atamenyana vikali dhidi ya Rayo Vallecano ambao mechi iliyopita walishinda, huku mwenyeji wao akishinda pia. Hivyo…

Read More

Nauli mwendokasi Mbagala huenda ikawa ‘buku’

Dar es Salaam. Zikiwa zimebaki siku sita kuanza kwa huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka ‘mwendokasi’ barabara ya Mbagala, huenda nauli ya safari moja ikawa Sh1,000. Taarifa ya kuanza kwa huduma ya usafiri huo Mbagala ilitolewa wiki iliyopita na Mkurugenzi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), Dk Athuman Kihamia alipozungumza na The Citizen….

Read More

TRA yaja na mfumo mpya makusanyo ya kodi

Arusha. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua mfumo mpya wa kielektroniki wa usimamizi wa maarifa (Knowledge Management System) unaolenga kuongeza uwazi na weledi katika ukusanyaji wa mapato. Mfumo huo unatajwa kuongeza ufanisi, uwazi, kupunguza mianya ya rushwa kwa watendaji wasio waadilifu, kuongeza usawa ambapo hakutakuwa na mlipakodi atakayetolewa makadirio makubwa sana au atakayependelewa kwa kutoa…

Read More

AHADI YA SERIKALI KUFIKISHA UMEME WA GRIDI KAGERA YATEKELEZWA

📌 Dkt.Biteko ashuhudia utiaji saini mikataba itakayowezesha Wilaya zote Kagera kupata umeme wa Gridi 📌 Awali umeme mwingi ulikuwa ukitoka nchini Uganda hivyo kufanya Mkoa kutokuwa na umeme wa uhakika na wa kutosha 📌 Asema Rais.Dkt. Samia alishatoa maagizo ya mradi huo kutekelezwa kwa wakati na kwa usahihi 📌 Aagiza wananchi 1,014 waliopisha mradi kulipwa…

Read More

Wanaodaiwa kuua mwanafamilia, waendelea kusota rumande

Dar es Salaam. Mshtakiwa, Fred Chaula (56) na wenzake wawili, wanaokabiliwa na kesi ya mauaji watalazimika kuendelea kusalia rumande hadi Septemba 8, 2025. Hiyo, inatokana na upelelezi wa shauri hilo kutokamilika, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Mbali na Fredy, washtakiwa wengine ni Bashir Chaula (49) dereva bodaboda na mkazi wa Tegeta pamoja na Denis…

Read More