
Mbunge alalama uwezo mdogo wa transifoma
Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Jesca Kishoa ameitaka Serikali kufunga transifoma zenye ukubwa wa kilovoti 200 hadi 315 ili kukidhi mahitaji ya kuendesha viwanda jimboni Mkalama, mkoani Singida. Amesema hayo leo Alhamisi Aprili 25, 2024 bungeni Dodoma alipouliza swali la nyongeza kuhusu uwezo mdogo wa transifoma zilizoko jimboni humo zenye ukubwa wa kilovoti 50…