MWENYEKITI PANG XINXING WA STARTIMES GROUP AHUDHURIA MKUTANO WA HARVARD KENNEDY SCHOOL CHINA

MKUTANO wa 5 wa Harvard Kennedy School China umefanyika katika Shule ya Harvard Kennedy Usiku wa tarehe 21, Pang Xinxing, Mwenyekiti wa Startimes Group, alialikwa kuhudhuria mtandaoni. Aidha Lengo Mkutano huo ni kujenga daraja la mawasiliano kati ya China na ulimwengu, kutoa jukwaa rafiki na wazi kwa majadiliano kati ya academia ya kimataifa, serikali, biashara,…

Read More

Tanapa yafufua ujenzi hoteli ya kitalii Chato

Chato. Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya nyota tatu katika Kijiji cha Rubambagwe, Wilaya ya Chato, Mkoa wa Geita uliokuwa umesimama kutokana na ukosefu wa fedha, unatarajia kuendelea baada ya Serikali kutoa Sh480 milioni. Hoteli hiyo inajengwa na Suma JKT ikiwa na lengo la kuchochea utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo na…

Read More

RAIS SAMIA ATUNUKU NISHANI VIONGOZI MBALIMBALI KATIKA SHAMRASHAMRA ZA MIAKA 60 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mama Salma Kikwete Nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambayo aliipokea kwa niaba ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali ya Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Aprili,…

Read More

Mmoja afariki wawili walazwa Hiace ikigonga watembea kwa miguu

Mwanza. Mkazi wa Mahina jijini hapa, Anastazia Katabazi (32) amefariki dunia kwa kugongwa na gari lililoacha njia na kuwagonga watembea kwa miguu wengine  sita. Majeruhi wawili wanaendelea na matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure na wengine watatu wametibiwa na kuruhusiwa kurudi nyumbani baada ya hali zao kuendelea vizuri. Akizungumzia ajali…

Read More

NIDA yapata mafanikio katika miaka 60 ya Muungano

*Ni katika kutoa vitambulisho Kwa idadi kubwa ya wananchi Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imesema kuwa katika miaka 60 Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar mamlaka imepata mafanikio ya kutoa Vitambulisho Kwa idadi kubwa. Hayo ameyasema Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano Godfrey Tengeneza wakati akizungumza kuhusiana mafanikio ya…

Read More

WAKULIMA KUNUFAISHWA NA (TBL) KUPITIA MASOKO YA KIKANDA

Msukumo wa ushirikiano huo ni kwamba licha ya uwezekano wa Tanzania kuwa kapu la chakula la kikanda na kuwaunganisha wakulima na viwanda vya ndani na vya kikanda vya mazao kwa ajili ya uongezaji thamani na usindikaji, changamoto za uwezo ndani na kando ya mnyororo wa ugavi zinapunguza hili kutokea. Changamoto hizi kwa kiasi kikubwa husababishwa…

Read More