
Wabunge wataka hatua zaidi athari za mafuriko
Dodoma. Wabunge wameitaka Serikali kuchukua hatua zaidi kutatua athari zinazotokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini. Wamesema hayo bungeni Dodoma leo Alhamisi Aprili 25, 2024 katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Hapo kwa Waziri Mkuu baada ya kuwasilishwa taarifa ya Serikali kuhusu athari za mafuriko. Mbunge wa Viti Maalumu, Tunza Malapo katika swali…