
Dk Biteko aeleza mikakati usambazaji gesi asilia mikoa minne
Dar es Salaam. Serikali imesema itaendelea na ujenzi wa miundombinu ya usambazaji wa gesi asilia katika mikoa ya Dar es Salaam, Mtwara, Lindi na Pwani. Hayo yamo kwenye hotuba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, alipowasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka 2024/25 bungeni jijini…