
Maombi makubwa DSM, mwalimu Tengwa afunguka “Tunaliombea taifa na Rais Samia”
Katika kuendelea kudumisha amani Upendo, na Utulivu wa nchi,huduma ya uamusho na matengenezo ya kanisa ulimwenguni imeandaa kongamano la kimataifa la kuombea Taifa la Tanzania na viongozi katika ngazi zote ili waendelee kuongoza katika njia njema na kuweza kutimiza kusudi walilopewa. Akizungumza na waandishi wa habari Leo Jijini Dar es salaam Mwalimu wa neno la…